Amosi 7:8
Amosi 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akaniuliza: “Amosi, unaona nini?” Nikamjibu, “Naona timazi.” Kisha Mwenyezi-Mungu akasema: “Tazama! Naweka timazi kati ya watu wangu Waisraeli. Sitavumilia tena maovu yao.
Shirikisha
Soma Amosi 7Amosi 7:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akaniambia, Amosi, unaona nini? Nikasema, Naona timazi. Ndipo Bwana akasema, Tazama, nitaweka timazi kati ya watu wangu Israeli; sitawapita tena kamwe
Shirikisha
Soma Amosi 7