1 Mambo ya Nyakati 1:28-31
1 Mambo ya Nyakati 1:28-31 Biblia Habari Njema (BHN)
Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli. Hivi ndivyo vizazi vyao: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.
1 Mambo ya Nyakati 1:28-31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wana wa Abrahamu; Isaka, na Ishmaeli. Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu; na Mishma, na Duma, na Masa, na Hadadi, na Tema; na Yeturi, na, Nafishi, na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.
1 Mambo ya Nyakati 1:28-31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wana wa Ibrahimu; Isaka, na Ishmaeli. Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu; na Mishma, na Duma, na Masa, na Hadadi, na Tema; na Yeturi, na, Nafishi, na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.
1 Mambo ya Nyakati 1:28-31 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.