1 Mambo ya Nyakati 1:28-31
1 Mambo ya Nyakati 1:28-31 BHN
Abrahamu alikuwa na watoto wawili wa kiume: Isaka na Ishmaeli. Hivi ndivyo vizazi vyao: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli alikuwa Nebayothi na wengine ni Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.