1 Nyakati 1:28-31
1 Nyakati 1:28-31 NEN
Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu, Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema, Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.