Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 10:1

Zekaria 10:1 BHN

Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika. Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua; ndiye awapaye watu mvua za rasharasha, na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote.

Soma Zekaria 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zekaria 10:1