Zekaria 10:1
Zekaria 10:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika. Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua; ndiye awapaye watu mvua za rasharasha, na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote.
Shirikisha
Soma Zekaria 10Zekaria 10:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA aletaye mawingu ya mvua, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi shambani.
Shirikisha
Soma Zekaria 10