Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 12:17-18

Waroma 12:17-18 BHN

Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote. Kadiri inavyowezekana kwa upande wenu, muwe na amani na watu wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waroma 12:17-18