Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 12:17-18

Warumi 12:17-18 NEN

Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote. Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 12:17-18