Waroma 12:17-18
Waroma 12:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote. Kadiri inavyowezekana kwa upande wenu, muwe na amani na watu wote.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote. Ikiwezekana, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote.
Shirikisha
Soma Waroma 12