Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 7:15-16

Ufunuo 7:15-16 BHN

Ndiyo maana wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Humtumikia Mungu mchana na usiku katika hekalu lake; naye aketiye juu ya kiti cha enzi atatandaza hema lake juu yao kuwalinda. Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma tena