Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 7:15-16

Ufunuo 7:15-16 SRUV

Kwa hiyo wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, nao wanamtumikia mchana na usiku katika hekalu lake, na yeye aketiye katika kiti cha enzi atatanda hema yake juu yao. Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala joto iliyo yote.

Soma Ufunuo 7