Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 21:22-24

Ufunuo 21:22-24 BHN

Sikuona hekalu katika mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Nguvu na yule Mwanakondoo ndio hekalu lake. Mji huo hauhitaji jua wala mwezi kuuangazia, maana utukufu wa Mungu huuangazia, na taa yake ni yule Mwanakondoo. Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 21:22-24