Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 21:22-24

Ufu 21:22-24 SUV

Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo, ndio hekalu lake. Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-Kondoo. Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake.

Soma Ufu 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 21:22-24