Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 21:22-24

Ufunuo 21:22-24 NEN

Sikuona Hekalu ndani ya huo mji kwa sababu BWANA Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo ndio hekalu lake. Ule mji hauhitaji jua wala mwezi kuuangazia, kwa sababu utukufu wa Mungu ndio nuru yake na Mwana-Kondoo ndiye taa yake. Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 21:22-24