Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 16:12

Ufunuo 16:12 BHN

Kisha, malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake yakakauka, na hivyo njia ikawekwa kwa ajili ya wafalme kutoka mashariki.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 16:12