Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 16:12

Ufu 16:12 SUV

Na huyo wa sita akakimimina kitasa chake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.

Soma Ufu 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 16:12