Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 96:1-3

Zaburi 96:1-3 BHN

Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu. Yatangazieni mataifa utukufu wake, waambieni watu wote matendo yake ya ajabu.

Soma Zaburi 96