Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 96:1-3

Zab 96:1-3 SUV

Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Mwimbieni BWANA, nchi yote. Mwimbieni BWANA, libarikini jina lake, Tangazeni wokovu wake siku kwa siku. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake.

Soma Zab 96