Zaburi 96:1-3
Zaburi 96:1-3 NEN
Mwimbieni BWANA wimbo mpya; mwimbieni BWANA dunia yote. Mwimbieni BWANA, lisifuni jina lake; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku. Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.