Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 6:1-2

Zaburi 6:1-2 BHN

Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako. Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani.

Soma Zaburi 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 6:1-2