Zaburi 6:1-2
Zaburi 6:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako. Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani.
Shirikisha
Soma Zaburi 6Zaburi 6:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako. BWANA, unifadhili, maana ninanyauka; BWANA, uniponye, mifupa yangu imefadhaika.
Shirikisha
Soma Zaburi 6