Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 6:1-2

Zaburi 6:1-2 NEN

Ee BWANA, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako. Unirehemu BWANA, kwa maana nimedhoofika; Ee BWANA, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 6:1-2