Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 37:3-5

Zaburi 37:3-5 BHN

Mtumainie Mwenyezi-Mungu na kutenda mema, upate kuishi katika nchi na kuwa salama. Uitafute furaha yako kwa Mwenyezi-Mungu, naye atakujalia unayotamani moyoni. Mkabidhi Mwenyezi-Mungu maisha yako; mtumainie yeye naye atafanya kitu.

Soma Zaburi 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 37:3-5