Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 37:3-5

Zaburi 37:3-5 NEN

Mtumaini BWANA na utende yaliyo mema; Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. Jifurahishe katika BWANA naye atakupa haja za moyo wako. Mkabidhi BWANA njia yako, mtumaini yeye, naye atatenda hili

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 37:3-5