Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 37:3-5

Zaburi 37:3-5 SRUV

Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu. Nawe ujifurahishe katika BWANA, Naye atakutimizia haja za moyo wako. Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumainie, naye atakutendea.

Soma Zaburi 37

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 37:3-5