Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 34:17-20

Zaburi 34:17-20 BHN

Waadilifu wakimlilia Mwenyezi-Mungu yeye huwasikia, na kuwaokoa katika taabu zao zote. Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa. Mateso ya mwadilifu ni mengi, lakini Mwenyezi-Mungu humwokoa kutoka yote. Huvilinda viungo vya mwili wake wote, hakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa.

Soma Zaburi 34

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 34:17-20