Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 34:17-20

Zab 34:17-20 SUV

Walilia, naye BWANA akasikia, Akawaponya na taabu zao zote. BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa. Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA humponya nayo yote. Huihifadhi mifupa yake yote, Haukuvunjika hata mmoja.

Soma Zab 34

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 34:17-20