Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 148:7-10

Zaburi 148:7-10 BHN

Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka duniani; enyi majoka ya baharini na vilindini, msifuni. Msifuni enyi moto, mvua ya mawe na theluji, upepo wa tufani unaotimiza amri yake! Msifuni enyi milima na vilima, miti ya matunda na misitu! Msifuni enyi wanyama wa porini na wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege wote!

Soma Zaburi 148

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 148:7-10