Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 148:7-10

Zab 148:7-10 SUV

Msifuni BWANA kutoka nchi, Enyi nyangumi na vilindi vyote. Moto na mvua ya mawe, theluji na mvuke, Upepo wa dhoruba ulitendao neno lake. Milima na vilima vyote, Miti yenye matunda na mierezi yote. Hayawani, na wanyama wafugwao, Vitambaavyo, na ndege wenye mbawa.

Soma Zab 148

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 148:7-10