Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 131:2-3

Zaburi 131:2-3 BHN

Ila nafsi yangu imetulia na kuwa na amani, kama mtoto mchanga alivyotulia na mama yake; ndivyo nafsi yangu ilivyo tulivu. Ee Israeli, umtumainie Mwenyezi-Mungu, tangu sasa na hata milele.

Soma Zaburi 131

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 131:2-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha