Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 131:2-3

Zaburi 131:2-3 NEN

Lakini nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu; kama mtoto aliyeachishwa kunyonya na mama yake, kama mtoto aliyeachishwa kunyonya ndivyo ilivyo nafsi iliyoko ndani yangu. Ee Israeli, mtumaini BWANA tangu sasa na hata milele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 131:2-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha