Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 4:23-24

Methali 4:23-24 BHN

Linda moyo wako kwa uangalifu wote, maana humo zatoka chemchemi za uhai. Tenga mbali nawe lugha potovu; wala midomo yako isitamke maneno madanganyifu.

Soma Methali 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 4:23-24