Methali 4:23-24
Methali 4:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Jiepushe na kinywa cha ujeuri, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Linda moyo wako kwa uangalifu wote, maana humo zatoka chemchemi za uhai. Tenga mbali nawe lugha potovu; wala midomo yako isitamke maneno madanganyifu.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.
Shirikisha
Soma Methali 4