Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 4:23-24

Mit 4:23-24 SUV

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.

Soma Mit 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 4:23-24