Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 24:13-14

Methali 24:13-14 BHN

Mwanangu, ule asali maana ni nzuri; sega la asali ni tamu mdomoni. Ndivyo ilivyo hekima nafsini mwako; ukiipata utakuwa na matazamio mema, wala tumaini lako halitakuwa la bure.

Soma Methali 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 24:13-14