Methali 24:13-14
Methali 24:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, ule asali maana ni nzuri; sega la asali ni tamu mdomoni. Ndivyo ilivyo hekima nafsini mwako; ukiipata utakuwa na matazamio mema, wala tumaini lako halitakuwa la bure.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, ule asali, kwa maana ni njema, Na sega la asali lililo tamu ulionjapo. Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwanangu, ule asali, kwa maana ni njema, Na sega la asali lililo tamu ulionjapo. Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.
Shirikisha
Soma Methali 24