Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:13-14

Mithali 24:13-14 NEN

Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri; asali kutoka kwenye sega ni tamu kwa kuonja. Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako, kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo, nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 24:13-14