Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:1-4

Mathayo 5:1-4 BHN

Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, naye akaanza kuwafundisha: “Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri walio na huzuni, maana watafarijiwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:1-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha