Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 15:26-27

Yohane 15:26-27 BHN

“Atakapokuja huyo Msaidizi nitakayemtuma kwenu kutoka kwa Baba, huyo Roho wa ukweli, atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia mimi. Nanyi pia mtanishuhudia kwa kuwa mmekuwa nami tangu mwanzo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 15:26-27