Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 15:26-27

Yohana 15:26-27 SRUV

Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia. Nanyi pia mnashuhudia, kwa kuwa tangu mwanzo mmekuwapo pamoja nami.

Soma Yohana 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 15:26-27