Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 15:26-27

Yn 15:26-27 SUV

Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia. Nanyi pia mnashuhudia, kwa kuwa tangu mwanzo mmekuwapo pamoja nami.

Soma Yn 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 15:26-27