Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 14:25-26

Yohane 14:25-26 BHN

“Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi, lakini Msaidizi, Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisheni kila kitu na kuwakumbusheni yote niliyowaambieni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 14:25-26