Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 14:25-26

Yn 14:25-26 SUV

Hayo ndiyo niliyowaambia wakati nilipokuwa nikikaa kwenu. Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.

Soma Yn 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 14:25-26