Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 13:36-37

Yohane 13:36-37 BHN

Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Petro akamwambia “Bwana, kwa nini siwezi kukufuata sasa? Niko tayari kufa kwa ajili yako!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 13:36-37