Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 13:36-37

Yn 13:36-37 SUV

Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwendapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye. Petro akamwambia, Bwana, kwa nini mimi nisiweze kukufuata sasa? Mimi nitautoa uhai wangu kwa ajili yako.

Soma Yn 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 13:36-37

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha