Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 13:36-37

Yohana 13:36-37 SRUV

Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye. Petro akamwambia, Bwana, kwa nini mimi nisiweze kukufuata sasa? Mimi nitautoa uhai wangu kwa ajili yako.

Soma Yohana 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 13:36-37