Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 10:27-29

Yohane 10:27-29 BHN

Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, nao hunifuata. Mimi nawapa uhai wa milele; nao hawatapotea milele, wala hakuna mtu atakayeweza kuwatoa mkononi mwangu. Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 10:27-29