Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 10:27-29

Yohana 10:27-29 SRUV

Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.

Soma Yohana 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 10:27-29