Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 5:17-18

Yakobo 5:17-18 BHN

Elia alikuwa binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo mvua isinyeshe, nayo haikunyesha nchini kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita. Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 5:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha