Yakobo 5:17-18
Yakobo 5:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia alikuwa binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo mvua isinyeshe, nayo haikunyesha nchini kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita. Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia sawa na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita. Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita. Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.
Shirikisha
Soma Yakobo 5